JE UNGEPENDA KUWA WAKALA WA MAUZO?

Je, una uthubutu? Unadhani una ushawishi katika mauzo?

Mobisol Tanzania 30 Oct, 20

Je, una uthubutu? Unadhani una ushawishi katika mauzo?
Kampuni ya ENGIE Mobisol sasa inakupa fursa ya wewe kuweza kuwa Wakala wa Mauzo na hivyo kujipatia kipato na kuleta maendeleo kwako na kwa jamii yako.
Kama uko tayari, bofya linki ifuatayo kisha jaza fomu ya usaili ili kutuma maombi yako kwa nafasi hizi za Wakala wa Mauzo zinazopatikana mikoa yote Mobisol inapofanya shughuli zake.

Link:Fill | Fomu ya Maombi ya Kufanya Kazi na Mobisol Kama Wakala wa Mauzo
forms.office.comOur Blog News

Find out more about our products and services as well as the ENGIE Mobisol community.
Latest articles

Technical Support

Use our dedicated support email to send your issues or suggestions. We are here to help anytime as long as your warranty last and beyond: 0800 755 000